sw_tn/psa/118/008.md

8 lines
323 B
Markdown

# kujihifadhi kwa Yahwe
Mungu anazungumziwa kana kwamba ni kivuli, sehemu ambayo watu wanaweza kulindwa. "kutafuta ulinzi kutoka kwa Yahwe"
# kumkimbilia Yahwe
Mstari huu una usambamba na ule uliopita. Mungu anazungumziwa kana kwamba ni kimbilio, sehemu ambayo watu wanaweza kulindwa. "kutafuta ulinzi kutoka kwa Yahwe"