|
# Na mbarikiwe na Yahwe, aliyeumba mbingu na nchi
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Na Yahwe, aliyeumba mbingu na nchi, awabariki"
|
|
|
|
# dunia amempa mwanadamu
|
|
|
|
Hii haimaanishi kuwa dunia si mali ya Yahwe, lakini amewapa binadamu dunia kama sehemu ya makao.
|