sw_tn/psa/106/001.md

12 lines
342 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Nani awezaye kuhesabu tena matendo makuu ya Yahwe ... matendo?
Mwandishi anauliza swali hili kumsifu Mungu na hategemei jibu. "Hakuna mtu awezaye kuhesabu tena matendo makuu ya Yahwe ... matendo".
# matendo yake yanayostahili sifa
"matendo ambayo yanastahili sifa"