# humwagikia kwa kazi zako
Hapa Daudi anafafanua kiasi cha vitu ambavyo Yahwe aliviumba kana kwamba vilikuwa kimiminiko kumwagikia nje ya chombo. "inajazwa na kazi yako!"