sw_tn/psa/096/003.md

12 lines
311 B
Markdown

# Tangazeni utukufu wake katika mataifa
"Waambie watu katika kila taifa kuhusu utukufu wake mkuu"
# Yahwe ni mkuu na ni wakusifiwa sana
"Yahwe ni mkuu. Msifuni sana" au "Yahwe ni mkuu, na watu wanapaswa kumsifu sana"
# Yeye ni wa kuogopwa zaidi ya miungu mingine yote
"Mcheni zaidi ya miungu mingine yote"