sw_tn/psa/089/041.md

20 lines
660 B
Markdown

# kwa majirani zake
Hapa "majirani" inamaanisha watu mataifa ya karibu.
# Umeinua mkono wa kuume wa adui zake
Hapa "mkono wa kuume" unawakilisha uwezo. "Kuinua mkono wa kuume" inamaanisha kuwa Yahwe aliwafanya adui zake kuwa na nguvu ya kutosha ya kumshinda mfalme aliye chaguliwa na Mungu.
# geuza nyuma makali ya upanga wake
Hapa "upanga" unawakilisha nguvu ya mfalme vitani. Kugeuza upanga inawakilisha kumfanya mfalme kushindwa kushinda vitani.
# makali ya upanga wake
Hapa "makali" inawakilisha upanga wote. "upanga wake"
# hujamfanya asimame wakati akiwa vitani
Hapa "asimame" inawakilisha kuwa mshindi vitani. "Hujamsaidia kuwa mshindi vitani"