sw_tn/psa/088/003.md

12 lines
574 B
Markdown

# Kwa kuwa nimejaa taabu
Mwandishi anajizungumzia kana kwamba ni chombo na taabu ni vitu vinavyojaza hicho chombo. "Kwa kuwa nina taabu sana"
# maisha yangu yamefika kuzimu
Hapa "maisha" yanamwakilisha mwandishi na "kuzimi" kunawakilisha mauti. Inawezekana mwandishi anajizungumzia mwenyewe kufa mapema kana kwamba kuzimu ni sehemu na amefika hiyo sehemu. "nimekaribia kufa"
# Watu wananifanyia kama wale wanaoenda chini shimoni
Neno "shimo" linamaana moja kama "kuzimu." Msemo "wanaoenda chini kuzimu" inawakilisha kufa. "watu wananifanya kana kwamba tayari nimekufa"