sw_tn/psa/073/018.md

16 lines
356 B
Markdown

# umewaweka
Waliowekwa ni waovu.
# sehemu telezi
"ardhi isiyo imara au salama"
# Jinsi wanavyokuwa jangwa kwa muda mfupi
Neno "jangwa" ni njia nyingine ya kusema watu waliopoteza kila kitu kizuri. "Jinsi wanavyoangamizwa haraka"
# kamandoto baada ya mtu kuamka
Waovu hawatadumu zaidi kama mtu anachoona kwenye ndoto. Inapotea mara tu mtu anapoamka.