sw_tn/psa/071/006.md

12 lines
246 B
Markdown

# Kupitia wewe nimebebwa tangu tumboni
"Umenibeba tangu tumboni" au "Umenitunza tangu nitoke tumboni mwa mama yangu"
# wewe ndiye
"wewe ndiye yule"
# Mimi ni mfano kwa watu wengi
"Watu wengi wanaona ninavyoishi na wanataka kuishi kama mimi"