sw_tn/psa/069/028.md

12 lines
229 B
Markdown

# Acha wawekewe doa katika
Kinachozungumziwa hapa ni majina ya adui. "Futa majina yao katika"
# wasiandikwe chini
"usiandike majina yao"
# acha wokovu wako, Mungu, uwaweke juu
"Mungu, niokoe na uniweke katika sehemu salama"