forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
455 B
Markdown
12 lines
455 B
Markdown
# Nani atatuona?
|
|
|
|
Watenda maovu hawategemi jibu kwa ajili ya swali lao kwa sababu wanafikiri hakuna mtu atakaye waona. "hakuna atakayeona tunachokifanya"
|
|
|
|
# Mawazo ya ndani na mioyo wa watu yana kina
|
|
|
|
Mwandishi anazungumzia "mawazo ya ndani" na "mioyo ya watu" kana kwamba ni vilindi vya maji ambavyo hakuna mtu anayeweza kuvichunguza hadi chini.
|
|
|
|
# Mawazo ya ndani ... mioyo ya watu
|
|
|
|
Misemo yote hii miwili inamaanisha mawazo ya siri au ya ndani ya mtu.
|