sw_tn/psa/063/009.md

16 lines
650 B
Markdown

# wataenda chini kwenye sehemu za chini zaidi za dunia
Hii inamaanisha kuwa watakufa na kwenda sehemu ya wafu. "watakufa na kushuka katika sehemu ya wafu" au "watakufa na kwenda chini katika sehemu ya wafu"
# watapewa kwa wale ambao mikono yao hutumia upanga
Hapa "upanga" inawakilisha kifo vitani, na "wale ambao mikono yao hutumia upanga" inamaanisha adui ambao wanawaua vitani. "Mungu atawasababisha kufa vitani"
# watakuwa chakula cha mbweha
Hapa wanaozungumziwa ni maiti za wale wanaokufa vitani. "mbweha watakula miili yao iliyokufa"
# mbweha
"mbweha" ni aina ya mbwa pori mwenye miguu mirefu. Huwa wanakula mizoga, mawindo, na matunda.