sw_tn/psa/042/007.md

24 lines
890 B
Markdown

# Kilindi huita kilindi katika kelele cha maporomoko
Neno "kilindi" inmaanisha maji yenye kina kirefu, ambapo hapa inawezekana ni vijito vinavyo tiririka chini ya mlima Hermoni. Mwandishi anavizungumzia kana kwamba ni watu wanaitana wanaposikia sauti yao ya kushuka katika mlima.
# mawimbi yako yote ... yameenda juu yangu
Mwandishi anazungumzia bahati yake mbaya na huzuni kana kwamba ni maji yenye kina kirefu yanayo mzamisha kwa wimbi moja baada ya jingine.
# mawimbi yako na gharika
Maneno haya mawili yanatumika pamoja kusisitiza ukubwa wa mawimbi. "mawimbi yako yote makubwa"
# Yahwe ataamuru uaminifu wake wa agano
Mwandishi anazungumzia uaminifu wa agano wa Yahwe kana kwamba ni mtu anayemwamuru kuwa naye. "Yahwe atanionesha uaminifu wake wa agano"
# wimbo wake
Maana zinazowezekana ni 1) "wimbo anaonipa" au "wimbo kumhusu"
# Mungu wa uhai wangu
"Mungu anayenipa uhai"