sw_tn/psa/037/014.md

20 lines
763 B
Markdown

# Waovu
Hii inamaanisha watu waovu. "Watu waovu"
# wametoa upanga wao ... wamekunja upinde wao
"Upanga" na "upinde" zote ni silaha zinazotumika kushambulia watu. Kitendo kwamba zimetolewa na kukunjwa inamaanisha kuwa wako tayari kushambulia. "wameandaa silaha zao ili kushambulia"
# kuwatupa chini
Uharibifu wa watu wahitaji unazungumziwa kana kwamba ni vyombo vya udongo vinavyoweza kuvunjika katika vipande vikitupwa chini. "kuwaangamiza"
# waliokandamizwa na wahitaji
Misemo hii inamaana watu wale wale wasio na uwezo wa kujilinda. "watu wasio weza kuwapinga"
# Panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe
Panga ni mfano wa silaha na "mioyo" inawakilisha watu. "Kuchoma moyo" ni lahaja inayomaanisha "kuua." "Silaha zao zitageuzwa kwao na watajiua wenyewe"