sw_tn/psa/037/003.md

8 lines
298 B
Markdown

# chunga katika uaminifu
Uaminifu unazungumziwa kana kwamba ni mnyama atakepata nguvu kwa kula katika malisho mazuri. "rutubisha uaminifu" au "zidisha uaminifu wako"
# hamu zako za moyoni
Hapa "moyo" unawakilisha hali ya ndani ya mtu na mawazo. "hamu zako za ndani" au "vitu unavyotamani zaidi"