sw_tn/psa/028/009.md

8 lines
352 B
Markdown

# urithi wako
Hii inazungumzia watu wa Mungu kana kwamba walikuwa kitu ambacho Mungu alirithi. "mali yako" au "wale walio wako"
# Uwe mchungaji wao na uwabebe milele
Mwandishi anazungumza kumhusu Yahwe kana kwamba ni mchungaji na watu ni kondoo wake. Mchungaji humbeba kondoo kama anahitaji msaada au ulinzi. "Uwe kama mchungaji na uwalinde milele"