sw_tn/psa/027/011.md

20 lines
851 B
Markdown

# Nifundishe njia yako
Jinsi mtu anavyopaswa kuenenda inazungumziwa kana kwamba ni njia ambayo mtu anapaswa kusafiri. "Nifundishe jinsi unavyotaka niishi" au "Nifundishe unachotaka nifanya"
# Niongoze katika njia tambarare
Yahwe kumweka mwandishi salama na adui zake inazungumziwa kana kwamba Yahwe anamwongoza mwandishi katika njia tambarare ambapo hatajikwaa na kuanguka. "Niweke salama"
# Usiniweka katika hamu za adui zangu
Nomino dhahania ya "hamu" inaweza kuelezwa kama kitenzi. "Usiwaache adui zangu wafanye kwangu wanachotamani"
# wameinuka dhidi yangu
"Kuinuka" ni lahaja inayomaanisha kuwa shahidi alisimama mahakamani kutoa ushuhuda. "wamesimama ili kuzungumza dhidi yangu"
# wanapumua vurugu
Hapa vurugu inazungumziwa kana kwamba ilikuwa ni kitu ambacho mtu anaweza kupumua nje. "wanasema kwamba watafanya vitu vya vurugu kwangu"