sw_tn/psa/026/006.md

16 lines
732 B
Markdown

# Ninanawa mikono yangu katika sehemu isiyo na hatia
Hii inaonekana kumaanisha utaratibu wa kunawa mikono kwatika maji kuashiria uhuru kutoka dhambini au hatia.
# kuizunguka madhabahu yako
Hili lilikuwa tendo la kuabudu amablo Waisraeli walizoea kufanya.
# nyumba unayoishi
Maana zinazowezekana ni 1) kama mtu aliandiki hii baada ya wakati wa Daudi, basi mwandishi anamaanisha hekalu liliko Yerusalemu. au 2) kama Daudi aliandiki hii, basi hii inamaanisha hema ambalo Mungu aliwaambia watu wake kuandaa ili wamwabudu humo.
# sehemu ambayo utukufu wako huishi
Hapa "utukufu" unawakilisha uwepo na nguvu ya Mungu, ambayo inakaribiana na mwanga mweupe sana. "sehemu ambayo watu wanaweza kuona mwanga wako mtukufu wa uwepo wako"