sw_tn/psa/018/033.md

16 lines
309 B
Markdown

# hufanya miguu yangu miepesi
Hii inaashiria kumwezesha mtu kukimbia haraka zaidi. "hunifanya nikimbie haraka sana"
# kama mbawala na kuniweka pa juu
Mbawala ana kasi na mtulivu milimani.
# hufunza mikono yangu
Hapa "mikono yangu" inamaanisha mtu. "Hunifunza"
# mikono yangu
Hii inaashiria mtu. "mimi"