sw_tn/psa/010/017.md

12 lines
437 B
Markdown

# umesikia mahitaji ya wanao kandamizwa
Inaonesha kuwa watu wanao kandamizwa walilia kwa Mungu. "watu wanao kandamizwa wakilia kwako, uliwasikiliza wakikuambia walichohitaji"
# unautia nguvu moyo wao
Moyo imara inaashiria ujasiri, na kufanya mioyo ya watu kuwa imara inaashiria kuwatia moyo. "unawatia moyo" au "unawafanya kujiamini"
# hakuna mtu ... atakaye sababisha hofu tena
"hakuna mtu ... atakaye sababisha watu kuogopa tena"