sw_tn/pro/31/18.md

12 lines
201 B
Markdown

# huona
"huangalia kwa uangalifu"
# usiku wote taa yake haizimika
"huwasha taa usiku kucha anapokuwa akifanya kazi"
# kisokotea
fimbo nyembamba yenye ncha ambayo hutumika katika kutengeneza nyuzi