sw_tn/pro/31/08.md

16 lines
367 B
Markdown

# ongea kwa ajili ya wale ambao hawawezi kuongea
"watetee wale ambao hawawezi kujitetea wenyewe"
# kwa ajili ya madai ya wote ambao wanaangamia
"hivyo watu watende haki kwa wale wote wanaoangamia"
# kwa ajili ya madai
"ongea kwa ajili ya madai" au "ongea kwa niaba ya"
# watu maskini na wahitaji
"watu ambao ni mskini hawawezi kupata vitu ambavyo wanahitaji"