sw_tn/pro/28/27.md

626 B

Mwenye

mtu

maskini

"watu maskini"

hatapungukiwa kitu

" hupata kila kitu anachohitaji"

yeye afumbaye macho yake kwao atapokea laana nyingi

  1. watapokea laana nyingi toka kwa maskini "maskini watatoa laana nyingi kwa yeyote afumbaye macho kwao"au 2"watu watatoa laana nyingi kwa yeyote afumbaye macho yake kwa maskini"

yeye

mtu yeyote

afumbaye macho yake

"asiyejali" au "anayeacha kusaidia"

watu waovu wanapoinuka

"watu waovu wanaposhika mamlaka au utawa katika mamla

huangamia

" huondoka " au "huanguka kutoka kwenye mamlaka" au "huharibiwa"

huongezeka

"huzidi" au "huinuka katika mamlaka"