forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
771 B
Markdown
28 lines
771 B
Markdown
# uchochezi wa mpumbavu ni mzito kuliko vyote
|
|
|
|
"uchochezi wa mpumbavu ni vigumu kuuvumilia kuliko vyote"
|
|
|
|
# uchochezi wa mpumbavu
|
|
|
|
"taabu inayosababishwa na mpumbavu" "uchochezi" maana yake maneno ua mtendo yanayosababisha hasira au uchungu
|
|
|
|
# kuna ukatili wenye ghadhabu na mafuriko ya hasira, lakini ni nani anaweza kusimama mbele ya wivu?
|
|
|
|
"mtu mwenye ghadhabu ni mkatili na mtu mwenye hasira anaogopesha, lakini ni nani anaweza kusimama mbele ya mtu mwenye wivu?
|
|
|
|
# ukatili
|
|
|
|
ukali"
|
|
|
|
# mafuriko ya hasira
|
|
|
|
"uharibifu wa hasira"
|
|
|
|
# lakini ni nani anaweza kusimama mbele ya mtu mwenye wivu?
|
|
|
|
"lakini hakuna awezaye kusimama mbele yake mwenye wivi"
|
|
|
|
# kusimama mbele ya mtu mwenye wivu
|
|
|
|
"kumzuia mtu mwenye wivu" au "kubakia imara wakati mtu mwenye wivu anapomshambulia"
|