sw_tn/pro/25/25.md

20 lines
710 B
Markdown

# kama maji ya baridi kwa mwenye kiu, ndivyo ilivyo habari njema kutoka nchi ya mbali
maji ya baridi yanafananishwa na habari njema maana vyote huburudisha na kufurahisha
# kama chemchemi iliyochafuka au bomba lililoharibiwa ndivyo alivyo mtu mwenye haki apepesukapo mbele ya watu waovu
mtu anatarajia kupata maji safi kwenye chemchemi au bomba, ndivyo mwenye haki anapaswa kusimama kwa kile anachokiamini. Hivyo chemchemi au bomba lililoharibika ni kama mwenye haki anayeanguka.
# apepesukapo mbele ya watu waovu
1) kukataa kupambana na watu waovu 2)kujiunga na uovu wao
# apepesukapo
"kushindwa kusimama"
# mbele ya waovu
"watu waovu wanapomshambulia" au "watu waovu wanapomshawishi kutenda maovu"