forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
411 B
Markdown
8 lines
411 B
Markdown
# Mtu ashuhudiaye uongo dhidi ya jirani yake ni kama rungu litumikalo kwenye vita, au upanga, au mshale wenye makali
|
|
|
|
shahidi wa uongo analinganishwa na silaha ambazo zinaweza kujeruhi au kuangamiza watu
|
|
|
|
# mtu asiyemwaminifu unayemtumaini wakati wa taabu ni kama jino bovu au mguu wenye kuteleza
|
|
|
|
"Kumtumaini mtu asiye mwaminifu wakati wa taabu kutaleta maumivu kwako kama jino bovu au mguu wenye kuteleza"
|