forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
641 B
Markdown
20 lines
641 B
Markdown
# Neno linalosemwa katika hali ya kufaani ni tufaha za dhahabu kwenye vyano vya fedha
|
|
|
|
"Neno linalosemwa kwa wakati sahihi ni zuri kama tufaha za dhahabu kwenye vyano vya fedha"
|
|
|
|
# ufaha za dhahabu kwenye vyano vya fedha
|
|
|
|
"matunda yaliyopakwa rangi ya dhahabu yaliyowekwa kwenye bakuli la fedha "
|
|
|
|
# Neno linalosemwa
|
|
|
|
"ujumbe ambao mtu huusema"
|
|
|
|
# pete ya dhahabu au pambo lilitotengenezwa kwa dhahabu safi ndivo alilivyo karipio la busara kwenye sikio lenye kusikiliza
|
|
|
|
"karipio la busara kwenye sikio lenye kusikiliza ni zuri na la thamani kama pete ya dhahabu au pambo la dhahabu"
|
|
|
|
# sikio lenye kusikiliza
|
|
|
|
"mtu aliye tayari kusikiliza"
|