sw_tn/pro/22/07.md

502 B

kopa ...kopesha

"kopa pesa ...kopesha pesa"

yeye anayepanda udhalimu atavuma taabu

"kama mtu atawatendea kwa udhalimu watu ambao wanauwezo mdogo kuliko yeye, baadaye watamsababishia taabu".

fimbo ya ghadhabu yake itanyauka

  1. mtawala dhalimu atapoteza mamlaka yake ambayo aliyatumia kwa kutenda udhalimu kwa watu. 2)watu watajibu dhidi ya udhalimu wake aliotumia kuwaumiza, na hatakuwa na nguvu ya kuwazuia. "hatakuwa na mamlaka aliyoyatumia kuwaumiza watu"

itanyauka

...miti inapokauka