sw_tn/pro/22/01.md

12 lines
236 B
Markdown

# jina jema huchaguliwa dhidi ya utajiri mwingi
"mtu anapaswa kuchagua jina jema kuliko utajiri mwingi"
# jina jema
"wetu wengine waone ya kuwa ni mtu mwema"
# hufanana kwa hili
"wanafanana kwa namna moja" au "wanafanana kwa hili"