sw_tn/pro/21/15.md

12 lines
216 B
Markdown

# haki inapotendeka
"watawala wanapotenda haki"
# huzurura kutoka kwenye njia ya ufahamu
Hii ni nahau "kuacha kuishi kwa busara"
# atapumzika katika kusanyiko la wafu
"atabaki katika kusanyiko la roho za wafu"