sw_tn/pro/21/11.md

32 lines
515 B
Markdown

# mwenye dhihaka anapoadhibiwa
" mtu anapomwadhibu mwenye dhihaka"
# mjinga
"bila uzoefu, asiye mkomavu, bado na hali ya uchanga"
# mwenye dhihaka
"mtu anayewadhihaki wengine"
# mwenye busara anapofundishwa
"mtu anapomfundisha mwenye busara"
# hushika maarifa
maarifa yanaongelewa kama ni kifaa ambacho mtu kukisha na kuhifadhi kwa ajili yake.
# mwenye haki
"mtu wa haki yeyote" au "Yahwe ambaye ni mwenye haki"
# huangalia
" tafakari kwa makini"
# watu waovu huleta kwenye maangamizi
"huwaangamiza"