sw_tn/pro/17/05.md

20 lines
237 B
Markdown

# maskini
"wale ambao ni maskini"
# Muumba wake
" yule ambaye alimuumba"
# kwa bahati mbaya
"kwa taabu za watu wengine"
# ni taji ya
"huleta heshima na taadhima kwa"
# wazee
" wale ambao ni vikongwe" au "watu wenye umri mkubwa"