sw_tn/pro/14/15.md

16 lines
185 B
Markdown

# mjinga
"bila uzoefu, asiye mkomavu, bado na hali ya uchanga"
# hatua zake
"matendo yake"
# hugeukia mbali na uovu
"huepuka matendo maovu"
# huacha kwa ujasiri
"hupuuza kabisa"