sw_tn/pro/14/13.md

20 lines
298 B
Markdown

# moyo huweza kucheka
"Hisia za mtu zinaweza zinaweza kuonesha furaha"
# kuwa katika maumivu
"kukabiliwa na maumivu" au "umia"
# yeye ambaye
mtu ambaye
# stahiki ya njia zake
"anachostahili, hulingana na namna anavyoishi"
# alivyo
" ambacho anakimiliki" au " ambacho anahaki ya kukifanya"