sw_tn/pro/12/13.md

8 lines
193 B
Markdown

# mtu mwovu hunaswa maongezi yake mabaya
"Mambo mabaya ambayo husemwa na mtu mwovu yatamnasa"
# kama kazi ya mikono yake inavyompa thawabu
kama ilivyo kazi njema anayoifanya inampa thawabu"