sw_tn/pro/08/32.md

20 lines
511 B
Markdown

# Sasa
Hii ni kuleta usikivu kwa wana wa msemaji anapohitimisha funzo hili
# Nisikilizeni
Hekima anaendelea kuongea juu yake mwenyewe
# wale wanaozifuta njia zangu
"wale wanaofanya kile ninachofundisha"
# usiziache
"hakikisha unazifuata"
# ataangalia kila siku kwenye milango yangu, akisubiri pembeni ya nguzo za milango yangu
"mtu mwenye busara husubira nje ya nyumba ya hekima wakati wa asubuhi ili ampe huduma" au "mtu mwenye busara husubira nje ya nyumba ya hekima ili hekima aje na kumfundisha"