sw_tn/pro/08/26.md

20 lines
295 B
Markdown

# Nilizaliwa ...nilikuwepo
Hekima anaongea kuhusu yeye mwenyewe
# nilizaliwa
"nilikuwa hai"
# thibitisha
" umbwa" au "fanywa"
# alipochora duara juu ya sura ya kina
"wakati alipoweka alama juu uso wa bahari umbali ambao mtu anaweza kuona katika bahari kwa kila upande"
# kina
"bahari"