sw_tn/pro/08/22.md

20 lines
246 B
Markdown

# kwanza katika matendo yake
"nilikuwa wa kwanza miongoni mwa vitu alivyoviumba"
# nyakati za kale
"muda mrefu uliopita"
# nyakati
muda mrefu
# Niliumbwa
"Mungu aliniumba"
# toka mwazo wa dunia
"tokea wakati ambapo Mungu aliiumba dunia"