sw_tn/pro/06/24.md

24 lines
279 B
Markdown

# itakutunza dhidi ya
"inakuokoa kutoka" au "inakulinda kutoka"
# mwanamke mwovu...mwanamke mwovu
"malaya" pia angali 5:3
# mwovu
"mbaya kimaadili"
# uzuri wake
"kile kilicho kizuri kwake"
# akunase
"kuwa na hali ya kudhibiti"
# kope za macho yake
"macho yake mazuri"