sw_tn/pro/05/13.md

8 lines
213 B
Markdown

# kutega masikio yangu kwa walimu wangu
'"kuwasikiliza wale walionielekeza"
# katikati ya kusanyiko, miongoni mwa watu waliokusanyika
jumuiya ilikusanyika ama kumwabudu Mungu au kuhukumu dhidi ya makosa yake.