# Yahwe aliumba dunia... aliziimarisha mbingu
Yahwe aliumba dunia.. aliziunda mbingu
# vina hufunguka wazi
alisababisha mito kutiririka au alisababisha kuwepo kwa bahari
# umande
maji ambayo hutokea ardhini wakati wa usiku