sw_tn/php/03/12.md

44 lines
1.4 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anawaagiza waumini wa Filipi kufuata mfano wake kwa sababu ya mbingu na miili mipya iniyowasubiria waamini. Anazungumza vile alivyofanya kwa juhudi ili kuwa kama Krsto, akijua kwamba Mungu atamruhusu aishi mbinguni milele.
# Nimeishayapata
Hii inajumuisha katika kumfahamu Krist, kufahamu nguvu za ufufuo wake, mateso yake na kupata kile tunachostahili katika ufufuo na kifo chake Kristo Yesu
# au kwamba nimekuwa mkamilifu
"Kwa hiyo mimi sio mkamilifu" au "hivyo mimi sijakomaa bado"
# Bali najitahidi
"Bali ninajaribu"
# Naweza kupata
"Ninaweza kuyapokea"
# kile ninachoweza kukipata katika Krsto Yesu Bwana wetu
"Hii inaweza kuanza na muundo kamili. "kwa sababu ndio maana Yesu ameniita wake"
# Ndugu
Tafsiri kutoka 1:12
# Nimekwisha kupata mambo haya
"haya mambo yote bado mmiliki wake ni mimi"
# Nasahau ya nyuma natazamia ya mbele
Kama mwanaraidha kwenye mstari hashulikii mambo ya kwenye mstari yeye anaangalia yaliyoko mbele yake. "Mimi sijali kile nilichofanya nyuma; mimi ninashughulikia kwa bidii niwezavyo kupata kilichoko mbele yangu"
# Najitahidi kufikia lengo kusudi ili niweze kupata tuzo ya juu ya wito wa Mungu katika Kristo Yesu
Kama mwanariadha anakimbia kwenda mbele kwa ajili ya kuvuka mstari. Paulo anakimbia mbele katika kutumika na kuishi katika maisha ya kumtii Kristo.
# juu ya wito
Paulo anazungumzia kuishi milele na Mungu kana kwamba Mungu alimwita Paulo na kumtuma.