sw_tn/php/02/09.md

28 lines
781 B
Markdown

# jina kuu lipitalo kila jina
Hapa "jina" linasimama badala ya cheo au heshima kuu. "cheo ambacho ni juu ya cheo kingine" au "heshima ambayo ipitayo heshima yeyote"
# lipitalo kila jina
Jina ni muhimu zaidi, zaidi kusifiwa kuliko jina jingine lolote.
# katika jina la Yesu
Yawezekuwa maana hii "wakati kila mmoja anaposikia jina Yesu"
# kila goti lipigwe
Hapa "got" inarelea utu wote, na liiname chini ni mfano wa kuinama kwa kuabudu. "kila mtu atamwabudu Mungu"
# juu ya ardhi
yamkini maana zikawa 1) sehemu ambayo watu waendayo wakati wafapo au 2) sehemu ambayo mapepo washipo.
# kila ulimi
Hapa "ulimi" inarejea kwenye utu wote. "kila mtu" au kila "kiumbe"
# kwa utukufu wa Mungu baba
Hapa neno "kwa" linaonyesha matokeo: "na matokeo ambayo watamsifu Mungu Baba"