sw_tn/oba/01/17.md

749 B

Taarifa za jumla

Bwana anaendelea kutoa Obadia ujumbe wake

kuokoka

"kukimbia adhabu ya Bwana." Hawa ndio watu ambao bado wana uhai baada ya Bwana kuwaaadhibu.

na hiyo

Neno "hilo" linamaanisha "mlima Sayuni."

nyumba ya Yakobo ... Josephu ni moto

Bwana anafananisha nyumba za Yakobo na Yosefu kwa moto kwa sababu wao watamwangamiza Esau kama moto ambayo haraka na kuchoma kabisa majani.

majani

"'majani" au "mchanga." Vipande vya kavu vya mimea ambazo zimeachwa baada ya nafaka huvunwa.

na wao

Neno "wao" linamaanisha nyumba ya Yakobo na nyumba ya Yosefu

watawachoma

Neno "wao" linamaanisha wana wa Esau, ambao ni taifa la Edomu

Hakutakuwa na waathirika kwa nyumba ya Esau

"Hakuna mtu mmoja wa nyumba ya Esau ataokoka'"