sw_tn/oba/01/05.md

645 B

Taarifa za jumla

Bwana anaendelea kumpa Obadia ujumbe wake kwa Edomu

kama wanyang'anyi walikuja usiku

"au kama wanyang'anyi walikuja wakati wa usiku"

wezi

watu wanaiba vitu kwa kuwa na vurugu kwa watu wengine

jinsi ungekatilwa mbali

Bwana anaongeza maneno haya katikati ya hukumu nyingine kuonyesha kwamba adhabu ya Edomu ni ya kushangaza. AT, ah, umeharibiwa kabisa.

Wasingeweza kuiba vya kuwatosha?

"wangeweza kuiba vinavyowatosha wenyewe."

Jinsi Esau amekwisha kupigwa, na hazina zake zilizofichwa zimewekwa nje

"Hakika, adui wamemtafuta Esau; wameitafuta hazina yake iliyofichika."

tafutwa

kutafuta vitu ili kuiba