sw_tn/num/35/33.md

539 B

Msiiharibu nchi mnayokaa kwa namna hii, kwa kuwa damu ya mwuaji huharibu nchi.

Msiifanye nchi ile mnapoishi isikubalike kwangu kwa namna hii, kwa sababu damu ya mwuaji huifanye nchi isikubalike kwangu"

kwa namna hii

kwa kutokutii sheria inayohusiana na mtu anayeua mtu"

Hakuna sadaka ya upatanisho inayoweza kufanywa kwa nchi pale damu inapomwagika juu yake isipokuwa kwa damu ya mtu aliyeimwaga.

"mtu anapokuwa amemwaga damu kwenye nchi, ni adhabu ya kifo cha mwuaji tu ndiyo inayoweza kufanyika kuwa fidia kwenye nchi hiyo"