sw_tn/num/35/29.md

20 lines
409 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa ufanya.
# kwa kizazi chote
"na uzao wenu utakaoisi baada yenu"
# mwuaji atauawa
"mtu fulani lazima amwua mwuaji"
# kama neno la ushahidi litatolewa
kulingana n a ushahidi wa mashahidi"
# Lakiniushahidi wa mtu mmoja unaweza usitoshe kusababisha mtu kuuawa
"Lakini neno l s mshahidi mmoja tu hautoshi kumfanya mtu auawe"