sw_tn/num/33/53.md

333 B

Taarifa kwa uumla

BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya.

Mtairithi ardhi

Madai ya Waisraeli ya kuwa ile aradhi ni yao ndiko kunakofanya kusema kuwa watairithi ile ardhi.

Kura itakapoanguka kwenye kila ukoo, hiyo ardhiitakuwa mali yake

"Kila ukoo utapata ardhi kulingana na kura itakavyokuwa"