sw_tn/num/32/20.md

623 B

kama mtajipanga wenyewe

"kama mtachukua silaha zenu"

Mbele ya BWANA

"katika uwepo wa BWANA"

mpaka atakapowafukuza maadui zake

"mpaka BWANA atakapowawezesha maaskari kuwaangamiza maadui na kuwafu"kuza kutoka katika uwepo wake

na nchi itawaliwe na Israeli

"na katika uwepo wake Waisraeli watawatawala watu wanaoishi katika nchi hiyo"

mtaweza kurudi

"mtaweza kurudi katika nchi hii katika upande wa mashariki wa Yorodani

Hamtakuwa na hatia mbele za BWANA na mbele ya Israeli

Inamaanisha 1) "mtakuwa mmekamilisha wajibu wenu kwa BWANA na kwa Israeli 2)"Hakutakuwa nalawama toka kwa BWANA au kwa Israeli"