sw_tn/num/32/04.md

629 B

Taarifa kwa ujumla

Watu kutoka kwa Reubeni na Gadi wanaendelea kuongea na Musa, Eliezeri, na viongozi wengine

Haya ni maeneno ambayo BWANA laichukua mbele ya watu wa Israeli

"ardhi ambayo BWANA ametuwezesha kuwaangamiza watu waishio ndani yake"

Sisi watumishi wako

watu wa Reubeni na Gadi wantumia lugha hii kuonesha unyenyekevu wao kwa mtu mwenye mamlaka ya juu.

kama tumepata kibali mbele ya macho yako

"kama tumepata kibali kwako" au "kamaumependezwa na sisi"

tunaomba ardhi hii tupewe

"utupe ardhi hii"

Usituvushe ng'ambo ya Yorodani

"Usituvushe ng'ambo ya Yorodani ili kupata umiliki wa ardhi kule"